
π₯ AI and humans π€π¨βπ»
π€This dual seems inevitable, kila siku unaskia kuna AI mpya ya kufanya task Fulani imetokea, kuandika article's, ku_design poster, ku_edit vidaa na vitu kama hizo, juzi pia kumekuwa na ingine mpya ina_threaten jobs za software engineers ππ
π‘Hii software inaeza tegeneza project any from scratch, kama ni app unadai kutegeneza inakupea code ya back-end na front-end, with a few prompt ukona application Iko fully functional, na kama wewe ni msee smart unaeza scale iyo service and serve more clients at the same timeπ―
π‘AI itself is not a threat to human jobs, people using AI are the threat to people who don't π so wewe ukipata opportunity ya vile unaeza make your work easier with AI changamka, don't look back, it an opportunity to grow, serve your client better and improve your work efficiency in generalπ―
β€οΈ Embrace AI it's here to help not to take your job, so use it where necessarily π€β€οΈ enjoy your weekend meshers π₯

