
π AI inakimbia faster, na sasa kuna feature mpya iko ready kubadilisha biashara online: ChatGPT Shopping.
Soon, merchants wataweza kupakia product feeds moja kwa moja kwa ChatGPT. Hii inamaanisha: βοΈ Listings sahii kila saa β±οΈ βοΈ Brand yako itaonekana direct kwa AI chats π¬ βοΈ Wateja watapata products zako haraka bila stress π
Picture this β mtu anauliza βbest handmade gifts in Nairobiβ na duka lako lina pop up instantly. Sio search pekeeβ¦ hii ni intelligent recommendation.
Hii ni chance kubwa kwa wasee wa SMEs, creatives, na e-commerce players hapa Kenya na hata Africa
Mimi niko more excited juu hii inalign na venye Srafix Ink Design husaidia biashara kujenga brands safi, designs kali, na digital presence ili ziwe future-ready.
π Advice yangu ni simple: anza kuprepare digital assets zako mapema. Soko ya AI iko karibu, na itabless wale wako ready.
#AI #ChatGPTShopping #DigitalInnovation #OnlineBusiness #KenyanSMEs #MadeInKenya #DesignForBusiness #SrafixInkDesign #FutureReady #SupportLocal #BiasharaNiDigital

