
Aiyaya nimeona YouTube wanaturahisishia kazi sana sasa. Ile story ya kungoja 1000 subscribers ndio uingie monetization nimeona wanatupunguzia to 500. Walai hii ikienda through small wigs wengi including me tutakuwa mafutani mbaya sana. Kama channel yako iko na minimum of 3 public uploads in the last 90 days na 3,000 watch hours in the past year tufike tu subs 500 tuwahi hii pesa ya YouTube buana. Ukifinya sub kwa channel yangu Mungu atakubariki sana Omwami. Link hii hapa:- https://youtube.com/@Trendy...

0
0
0