
Aje Fam!
Je umewahi ku-successfully sale your products either through Jumia ama Twiga platform and uko na time ya kufanya call interview?
Kama uko na experience na unataka kushare insights zako, ama unamjua msee ameivana, let’s link up.
Please comment/mtag hapa ama DM directly.
Shukran!
0
0
0