
π₯ Ajira Digital π°πͺ
Hii ni platform ya gov't ya ku_empower mayouths na skills tofauti online,
Ni baze fitie ya kuanza your online career, kama freelancer unaeza offer services zako online na u_make dooh extraπΈ
What interesting ni etii unaeza learn skills kadhaa kwa platform na pia unaeza pata gigs hapo badoπͺ
You can learn pretty much everything for free, na platform yenyewe ni user friendly with simple courses to get you started, check it out:
https://ajiradigital.go.ke/

0
0
0