Aki na ii corona imearibu kila kitu..bt zaidi ya hayo yote tuwashidi dani ya Yesu kristo,tuendeleee kuchapa job ,apa tu Rastoration shop kathonzweni, usilale jaaa,nauza mashakula yote,uga wa ugali,uga wangano,sukari,majani,mafuta,kila kitu inastahiri kuwa kwa duka ziko,niko opposit malikiti,mahali kuna shed ya boda,stage ya itangini.tusikubali kufinyiliwa na shida tuchape kazi
0
0
0