
Akianani si AI itamaliza kazi ya graphic designers kabisa. Leo nimepitia huko X and my guys people are prompting AI to create such stunning images in seconds. Hadi unashangaa sana ukiona bug companies wakitumia AI kutengeneza graphics zao. Mkijiuzlia which platforms do they use to? Well just Install Bing in your phone and kuna tab ya kutumia AI. My guys what's your take on this?




0
0
0