
Ala! Kumbe Matumbo ni Tripes kingoso? Leo Mtu wa butcher ataona Giza 😂, but before that?.. Our weekly segment ya Spices.
Leo we'll be talking about Cayenne Pepper kwa swahili; Udaha (ulikuwa haujui 😂). Hii nayo ni fiery widely recognized juu ya its vibrant red color and intense heat.
Matumizi yake nikuleta ladha ya pilipili and pia ku enhance flavors. Unaweza itumia kwa seafood, all types of egg dishes, Nyake, stews, Cheese dishes, curries as well as hot sauce.
Matumizi mengine ni kama kusaidia by stimulating digestive system na saliva flow, ku increase metabolism na potential ya weight loss.
Other spice we should feature? Please kuja in box. Great weekend Kitchen Masters.

0
0
0