
Alafu cheki wasee,uko na biz ama unataka kuanza?combine na mpesa,mpesa ni kama suppa,hakuna cha nikatie bei,the maximum time unaeza spend na msee kwa mpesa ni 5mnts,akimaliza atakwambia,haiya,kumbe unauza hii? vile nimetafuta,then hapo umepata customer ata hakua anajua uko na hiyo product ama service
0
0
0