
Alafu leo tuko ndani Thursday Live kama kawaida!!🙌🏿 Na tuko na bonge la show featuring @[Kelvin Mbaluto] 🔥🔥 2pm Sharp! ⏰ Atatuchapia kuhusu #Biz ya Ku-design cladi, vile alisaka capital na vile anaendelea ku-grow #Biz yake to what it is today.💪🏿 It's all about ideas and growth hapa MESH! 💯 Share thoughts zako kwa comments, no idea is a bad idea, ama vipi?!
Host wetu kama kawaida @[Captain Ashok] ⚡
0
0
0