Alafu majamaa kama uko serious naunataka doo ya haraka, ill advice kama uko na 70k i can link you to my father ye huuza poshomills second hand but complete in good condition serviced... Poshomill ni biz smart... Mafuta ya 700 hutoa 1450 a day.. Bado kuna unga zi humwagika watu wa nguruwe hubuy ju ni food ya nguruwe na mahindi humwagika ikichungwa wasee wa kuku hubuy pia.. Advantage ya diesel poshomill ni ati inakupa twice io bei ya mafutaa... Iii hussle imetusomesha kwetu sote and am telling you for free it's the best... Watu huwa wengi so sintumeeka mbili place moja kureduce kujaa



0
0
0