Alafu mtu anaelewa bizna ya ice na ice cream si anichanue please from scratch like unaneed nini na nini... Kwanza uyo tu ice twa karatasi nimeona uku itafanya poa ju ni close na shule☺️