
Alafu niko na idea nianze trading (Forex) nimechapa classes za forex ...nikachapa pia demo account and still naendelea kulearn ....wasee huku nje wanamake doo sana na forex... Balaa inakuja kwa capita .... That why nimerequest mtu ako na job vaccancy anilink na nitashukuru nisave nipate capita.
0
0
0