Alafu niko na swali ya online marketing hapa, tusaidiane kiasi. Nime-realise WhatsApp for business ni poa sana ku-track customers, lakini si wote wanapenda kupeana numbers. Best solution ni gani? #ShujaazBiz #OnlineMarketing
0