
Alright, Leo ikiwa womens day itabidi niseme ukweli, women are taking over the creative industry bana. Unajua kitambo walikua overlooked sana. Ama works zao zinakanyagiwa hazipati recognition venye inafaa. Lakini nowadays bana kuna writers, filmakers, actors wanoma sana wanawake. Hao mi huona wakiongeza zile deep emotions kwa hii creative industry. Very nice, very nice. Am sure mnajua some influential women kwa hii creative industry, tebu tuchambue a few hapa kwa comments.

0
0
0