Am a business woman......nafanya hustle ya kuuza nguo..nauza nguo za maboy mostly....nlianza 2018 till now....n hustle poa....imeniinua from down and at least sai naeza sema nko somewhere..