
Am a driver na ninaendesha someone's car na this rise of fuel sai iko at 134 na bado naskia inapanda i work with an online driver app na pick up rates ni zile zile their discount ni zile zile and their interest ni zile zile mi naomba tu serikali please we are kenyans we know we have loans but kama sisi ndo tunatumika to pay them kweli tunaona mazao ya hio pesa lakini tungejipanga poa poa we pay one loan at a time but this is too much
0
0
0