Am Alex residing from Vihiga County nachapa kazi ya Movie shop, Photocopy, na Cyber services, Shughuli yangu iko Maragoli plaza hapa Majengo, nilianza in 2019 but nowadays sells ziko chini kiasi, I just want to appreciate Mesh for the advice nilipata kwa stories zake, meanwhile nawakaribisha one day huku Majengo Vihiga.
0
0
0