
Am not exaggerating walai nikiwaambia why you should check on your sound quality when creating your content. Buana naonanga some content nikiscroll social media, unapata ni kali lakini hapo kwa sound inakua a major turn off. Mimi husema kama your sound iko poor quality, utakua unakaa unprofessional and cheap and hakuna msee atakuchukulia serious plus hio brand yako. Jiamulie ushike a cheap lapel microphone uone venye utagrow like magic. Plus hii unachapa content zote ata kama ni interviews ama outdoors and ni less susceptible to wind noise. Thank me later 🤲🏽😌

0
0
0