
Am rozie nmekua nikiuza pombe in my local pub but tangu selikari ifunge nikaamua siwezi kaa hivyo nimekua nikitafta orders na kubeba na bag kudeliver though it's illegal bt nikamaliza my dead stock with no time,now ave decided to try another bizz na hiyo pesa kidogo nilimake nazungusha nguo za watoto ad it's doing well though it has so many challenges bt it's a good hustle
0
0
0