
Amkeni MAFUTA imepanda tena!!!
Ile alternative iko saa hizi ni kujitengezea own mafuta; multi-purpose hadi, all this from your favorite AVOCADO.
Head kwa hii video uone how easy it is to Make Avocado oil at home. https://www.youtube.com/wat...
Kama uko na more hacks please share na sisi kwa comment section. Halafu hii week ntakuwa out and about comparing them prices. What product should I research on. Inbox hapa mesh na muombe sana wasiguze bei ya Avocado.

0
0
0