
Anaweza kujaribu kuongeza aina tofauti za snacks kama vile njugu karanga au zile chocolate-covered fruits ili kuvutia macustoma zaidi. Pia anaeza anza kufanya deliveries kwa customers wenye wako far ama wale wanadai kuletewa kwa nyumba. Pia naeza muadvice aweze kuopen page ya fb ama x aanze kujipromote na atapata macustomers. Sam anaeza design shop yake vifiti,ikuwe outstanding ana aibrand vinoma ,watu watafutiwa. Naona pia anaweza leta offers kalikali kwa wateja wake na aeke loyalty program kama zile za supa mteja akibuy anaget points anaeza redeem. La mwisho ni eti anaeza diversify aeke bidhaa zako kwa supa kadhaa au maduka ,apo atakuwa amecheza fiti ndio itafikia watu wengi.
0
0
0