Anaweza kuongeza mayai na smokies na smochas coz kuna wengine hawapendi masamosa za kuuzwa, atleast anapata a variety of food yenye customers wanaweza kuchoose from