
And the fear imeanza tena.
Crops zimeanza ku turn yellow: every mkulima's fear. The buzz around El Nino ime-fizzle.
Nimekuwa kwa farm past 2 weeks na hakujawahi nyesha.
Though some of the crops; maize, millet, Ndengu.. ziko almost mature, my worries iko kwa butternut (Pictured).
Fingers crossed hii season.
Hood yenyu crops ziko aje?


0
0
0