
Angalia biz msee hajaanza area code yenu kaa ruiru usikimbie kuuza samosa na smocha huku kila msee anafanya hiyo wee kaa chini piga plans zako usiuuze food jaribia hizi online jobs kama kuadvertisia tour companies agree na terms zao alafu utajiona ukisonga jaribu forex najua wengi mnaogopa ati hiyo kitu hukuwa ngori inaeza enda uachwe na password tu but life ni kurisk kila kitu kuwa risk taker jaribia vitu zote ama anza kuandikaga mastori tu ama kuchora talent inalipa kuliko job ya ukweli mkurugenzi
0
0
0