
Another key factor ya kujenga hsutle yako ni attitude kuhusu hustle yako.jifunze kua na imani kuwa hustle yako itaendelea vizuri hata kama ni ndogo,utajikuta unagrow bila stress yeyote,alafu usijilinganishe na wengine kwa kupishana coz iyo utadunda roho safi.
0
0
0