Another round of Demolitions!
Hii life inahitaji tu shock-absobers... juu wuehh... mahawker along Thika Road, wanajipata kwa shida round hii.
Wasee wa Roysambu wameamkia shock leo asubuhi after kupata vibanda zao zimebomolewa usiku.
Wacha niulize, hawa hawkers walipewa warning za ku-vacate au ili-fanyika ghafla?
Patia hawa hawker advice...How do you bounce back after stock yako imeharibiwa?
0
0
0