
Another Week, another good time ya kubonga "Kilimo Numbers"
Leo we'll talk juu ya Sungush Farming.
Cost yaku rare rabbits ina depends na the type of system unatumia. Though feeds ndio ukuwa the major cost, juu rabbits u'consume about 25 grams of pellets per day.
Hii ina translates to kitu 2.25Kg in 90 days. On average 2Kg of rabbit pellets cost between Ksh.90 and Ksh.150. Kuna pia kuuza droppings where 20kg goes between Ksh 50 to Ksh 200.
Halafu pia sungush ukuwa na other benefit kwa Mkulima kama, urine yake utumika kama both insecticide na pia fertilizer. Kuna wale pia utumia droppings za sungush ku serve kama Tilapia food.

0
0
0