
Any biz ukam na challenges zake so msee ako pale nje akona idea ya kuanza biz yake anafaa kujua biz ukua na ups and downs so kuna time biz itakua low na time itakua imepick.. so at no moment anafaa kugive up ..a good entrepreneur anafaa akue a risk taker na msee huwa hayuko ready kugive up at any time ju design atajiphsyce up ndio itadetermine kama biz itakua successful ama itafail #Tujijenge

0
0
0