
Anyone asking for Whatsapp communication mwanzo wale wa "Online Jobs" will advise usikimbilie kwanza. Hapa mesh tuko na #inbox feature and #timeline post. Kama ni business legit hakuna need ya kwenda whatsapp or text. Otherwise unaezapata umepeana your details kwa scammers pia.

0
0
0