Apo kwa biz , hakuna kitu inaeza kuweka down haraka than kufanya kitu coz Jirani anafanya, be unique avoid copying others majamaa.