
Arif yangu moja alikuwa ana-struggle kujibu watu, Kila time akiulizwa 'What do you do for a living?' .
Aliogopa kuambia watu eti yeye ni consultant na founder wa start-up moja alikuwa ameanzisha. Family yake ndio walimcriticise the most, juu hawakuelewa mbona aliquit employment kuanzisha biz mpya.
Years later, jamaa anaendelea fiti, earning upto 6 figures for some contracts.
So, it all boils down to how do you view yourself? Do you have a growth mindset? Not everyone will support you in your journey. Some will even kill your dreams with their words. Protect your dreams at all costs! Don't even bother over-explaining yourself to them. Let your hardwork shine through. Dream big, be bold!

0
0
0