
Arise and shine, twende hustle! Motivation ya Njeri a single mom at 24 years from Mathare kufungua shop mapema at around 6am ni ku-ensure mtoi wake amepata school fees ya kungia Nursery School next year. What is your motivation mtu wangu? #ShujaazBiz #LindaFam
0
0
0