
Arsenali last season wamewacha ligi ikaenda na man city but tumeona hii season wamebeba community shield na wameshinda game za mbili za Kwanza. So mnaonaje hawa wasee , this time wamejipanga fiti Ama bado ni mapema ku judge.. #MESHERS #TUJENGANE


0
0
0