Artists Sana sana huwa wanajipata kwa depression na wana end up kufind solace in drugs na pombe,,issues zinaeza kua Ni gani zenye zinawalead into having mental issues??then tuchanuane pia solution inaeza kua gani to avoid such incidences???
0