ARTIVISM= Art+Activism
Kila siku tunacheki news za mdem kuuwawa na close family member or a trusted friend. Femicide is on the increase na statistics zimefika shocking levels 😯!
Get time ufike pale Westi, Kuna exhibition moja deadli yenye inaibua hisia na maswali magumu kuhusu femicide.
Huyo msanii ameweka art installation Kali 🔥yenye ina-campaign against femicide. Fika kule The Mall, Westlands, Creatives Garage, before 21st Aug!
Don't miss out!
