
As a comrade najua mzazi hawezi satisfy all your needs na pia kuna wale wazazi hawana uwezo totally , kama comrade unafaa kujipanga bora tuu unajielewa poa na unatambua background yako fiti , Hizi ndo hustle unaweza piga , wengine wetu tulianza na pesa kidogo tu ya helb
- Jioni unaweza piga biz ya smookie na mayai pasua
- Unaweza fanya writings kama umeivia
- Unaweza uza manguo za mtumba kidogokidogo though
- Unaweza uza samosa na chipo mwitu Tuchapiane hapa hivo kwa comment section some of the business ideas comrade anaweza fanya , tujengane 💪💪
0
0
0