
As a mentor kwa ground kwanza nita share how vijana na watu wKo kwa biz wanapitia challenges kwa ground,nitake kujua how they get help and from where. After hapo naanza kuwauliza about MESH then explain the benefits of mesh kwa vijana na wasee wakona biz and how inawasaidia kupata feee advise,free connections and opportunities. All will join mesh after this...
0
0
0