As an Entrepreneur unafaa kua ready to utilize fully the Anchoring Effect...Anchoring Effect work's like this..wasee hutegemea sana habari za kwanza wanazopata (anchor) wakati wa kufanya maamuzi. Habari hiyo ya kwanza inaathiri sana maamuzi yao baadaye, hata kama si sahihi. Example in shop's huandikwa bei ya awali ni shilingi flani, kisha ikapunguzwa. The first price inafanya bei mpya ionekane Affordable sana Making the buyer adhani it's a good deal done ,Mfano, bei halisi ni 80,000 lakini sasa ni 45,000. Unaona ni deal nzuri, lakini labda bei halisi ni 40,000 only ..Making both sides to get a win win situation
0
0
0