
As for me,nmekua Kwa chamaa na wanabiashara wenzangu,kila siku tunatoa Mia mbili na group yetu iko na watu 15, siku yangu ikifika hua natumia hio doh kwa investments,hua naona hii ndio a good way of spending extra cash , it's similar to saving 200bob for 15days then utumie. #SavingsChallenge
0
0
0