
As Njaanury officially ends here is Biringanya plus Mabenda fry recipe to escape that KABICHI NA KALE monotony:
PROCEDURE
- Put onion kwa pan hadi ichange colour brown
- Add pilipili hata moja ama mbili ju ya taste
- Eka izo mabenda na Biringanya after kuzikata tudogotudogo
- Ifunike iyo pan ipate kale kavapour zizubae
- Then add tomato ziive pamoja but ukoroge kwa ustadi
- Add a small amount of royco
- Serve with ugali moto
- Enjoy your meal
Ideal pia kwa comrades.

0
0
0