
As of sai, 3k is enough money to buy a few boxes of masks za kupeana free of charge kwa clients wanakuja kwa hustle yangu, at the same time nkiendelea na campaign ya #WAICHANJO nkiencourage members wa community waende waget chanjo ya COVID-19 kwa any of their preffered point of vaccination ndio tuendelee kukua safe tukindelea kuprotect na #Lindafam ndio maisha iwe bila stress.
#CelebratingMESH #MESH4Life
0
0
0