
As promised 🙌 tuko #Live na tumechangamka this cold Thursday afternoon! 🔥🔥 #MESHer wetu wa nguvu @[Violet Auma] ako na #Biz ya #Botique ana uza #Viatu, #Handbags na #BeautyProducts 👠👛 Feel free kuuliza maswali zako zote kwa comments tukiskia journey yake! #Ideas are welcome too, hapa #MESH form ni #Kujengana 💪💪
Host wetu @[Captain Ashok] 💯
#MESHMentors #ThursdayLive
0
0
0