
As we come closer to election, Let's remember our paths, Mahali tumetoka ni mbali na tunaenda far sana, Tusikue na vurugu na vita, Amani ni kitu cha maana sana,
Tukumbuke kujijenga na pia kuinua marafiki zetu pia hao wakue successful kama sisi.
#FORM NI PEACE
#Tujijenge #chriscreation.

0
0
0