
As we continue to appreciate culture, mnajua kuhusu hii traditional hotpot? The outside is made from papyrus reeds then ndani inaundwa na black clothing and polythene. In Western Kenya unaeza pata ikiuzwa from at least ksh 1000 na inaweka food moto for long. I thought, you should know🙂

0
0
0