
As we start the new week💯 Tuchanuane kiasi! 😎 MESHers wengi wame-tuchapia Ku-raise #Capital imekua shida siku hizi. Cost of living balaa! 🤦🏾♂️ Usitense, skia hizi TIPS TATU from one of our own, @Veronicah Njuguna anatuchapia vile ali-raise 40k kuanzisha #Biz yake ya ku-import nguo na viatu kutoka #China na #Turkey. Cheki form:
⏩ TIP ONE: Disciplined savings zinaeza come through sana. ⏩ TIP TWO: Unaeza get help kutoka family na relatives. Hakikisha ume-build trust. ⏩ TIP THREE: Tafuta partner mwenye ako na the same goals na wewe.
Na form ndio hiyo! 🚀 Skiza tips zake in detail alafu tuchapiane. Kumbuka pia ku-share tips zako pia na sisi kwa comments! Jenga MESHer mwingine, #Leggo
#StrongerTogether 💪🏿 #MESHVlogs #BizYaImports

0
0
0