Asante mesh. Nimeeza kumaliza kurepay loans bila shida yoyote. Nataka kuchukua nyingine. Meshers wenzangu kuna challenges mmekua nazo kurepay? Weka hapa kwa comments niwajenge advice