
Asanti sana Mr. Kivaya and all Mesh partners kwa hii chance mmenipa. Nashukuru na sasa nitawork kuimplement my business plan ili pia kugive back to the community. Asanti for supporting my dream. Nashukuru sana #Jengwanamesh #Biz #Jengwanameshchallenge
0
0
0