
Asked a boda boda rider how business is after ku-move to electric motorbike from fuel motorbike.
Alisema anatumia 160 bob for nduthi yake saa hii, 2 battery swaps daily, ana operate mtaani tu, so distance sio mbali sana, bei ni 70 to 100.
Alisema electric ni cheaper and better compared to fuel boda boda.
Una prefer electric ama fuel boda boda? Share reason yako.

0
0
0