
At average ya Kshs 200 from major market, Habanero inakaa plant fiti ya ku venture in.
Habanero ni type ya pilipili yenye inajulikana sana kwa kuwa hot and fruity flavored. Ukuwa commonly used kwa hot souces and other spicy disher.
Kwa mkulima mwenye want to venture in, you need to make sure ume master soil preparation, skillful time ya planting, kuwa observant in maintenance and pia harvesting.
A video iko detailed vile unaeza do hapa nchini what market to targets ndio hii hapa https://www.youtube.com/wat...
Kama uko na more plants and articles zenye zinaeza help mkulima, please share na sisi kwa group yetu we learn as well.

0
0
0